Singer: Kelly Clarkson
|
Song: Piece By Piece
Kelly Clarkson - Piece By Piece Subtitles (vtt) (03:01-181-0-sw) (PARTIAL PREVIEW)
......................................................................
........ USE THE BUTTONS BELOW TO GET FULL LYRICS & SUBTITLES ........
......................................................................
WEBVTT
00:00:15.125 --> 00:00:16.908
Niliamua tangu zamani sana
00:00:16.958 --> 00:00:18.741
Kwamba nitaandika historia
yangu maishani
00:00:18.791 --> 00:00:19.325
Nikae bila kujituma?
00:00:19.375 --> 00:00:20.366
Huyo si mimi
00:00:20.416 --> 00:00:22.325
Wala siwezi kufuata ndoto za mwingine
00:00:22.375 --> 00:00:23.950
Hebu niziishi ndoto zangu
00:00:24.000 --> 00:00:25.908
Maana huanza na hatua
00:00:25.958 --> 00:00:27.200
Ipe muda, ruhusu iwe bora
00:00:27.250 --> 00:00:29.491
Badala ya kulazimisha na kuishia
kuharibu ndoto zako
00:00:29.541 --> 00:00:30.200
(Hey)
00:00:30.250 --> 00:00:31.866
Hadi itakapotimia (Hey)
00:00:31.916 --> 00:00:33.825
Hadi itakapotimia (Hey)
00:00:33.875 --> 00:00:35.491
Hadi itakapotimia (Hey)
00:00:35.541 --> 00:00:36.750
Hadi itakapotimia
00:00:37.625 --> 00:00:41.491
Ndoto zinapotimia, kufikia malengo
00:00:41.541 --> 00:00:44.908
Huleta faraja moyoni
00:00:44.958 --> 00:00:46.825
Hakika nimefanikiwa
00:00:46.875 --> 00:00:49.241
Haya ni matokeo ya jitihada zangu
00:00:49.291 --> 00:00:55.291
Wakati nafikiria wazo
hili niliona fursa
00:00:56.541 --> 00:01:00.033
Usishangae
00:01:00.083 --> 00:01:04.991
Ndoto kubwa huhitaji uthubutu
na jitihada, yeah
00:01:05.041 --> 00:01:10.825
Mafanikio huonekana mepesi kwa wengine
00:01:10.875 --> 00:01:14.241
Lakini kwangu ni tofauti,
sikuwahi kukata tamaa
00:01:14.291 --> 00:01:16.875
Inahitaji jitihada bila kukata tamaa
00:01:18.666 --> 00:01:20.283
Hadi itakapotimia (Hey)
00:01:20.333 --> 00:01:22.241
Hadi itakapotimia (Hey)
00:01:22.291 --> 00:01:23.908
Hadi itakapotimia (Hey)
00:01:23.958 --> 00:01:25.866
Hadi itakapotimia (Hey)
00:01:25.916 --> 00:01:27.458
Hadi itakapotimia
00:01:28.291 --> 00:01:32.158
Ndoto zinapotimia, kufikia malengo
00:01:32.208 --> 00:01:35.241
Huleta faraja moyoni
00:01:35.291 --> 00:01:38.991
Hakika nimefanikiwa
00:01:39.041 --> 00:01:42.283
Isingeweza kuwa vinginevyo
bali jitihada
00:01:42.333 --> 00:01:46.325
Sikuwahi kupumzika
00:01:46.375 --> 00:01:49.575
Walionikatisha tamaa sasa wanajutia
00:01:49.625 --> 00:01:52.033
Wakiangalia jitihada zilivyoleta
mafanikio
00:01:52.083 --> 00:01:55.375
Hivyo tunazidi kufikia malengo ya juu
00:02:02.000 --> 00:02:03.908
Hatua kwa hatua
00:02:03.958 --> 00:02:05.575
Ha...........
......................................................................
......................................................................
........ USE THE BUTTONS BELOW TO GET FULL LYRICS & SUBTITLES ........
......................................................................
......................................................................