Singer: Harmonize
|
Song: Niteke
Harmonize - Niteke Lyrics (LRC Advanced) (03:36-216-0-pl) (PARTIAL PREVIEW)
......................................................................
........ USE THE BUTTONS BELOW TO GET FULL LYRICS & SUBTITLES ........
......................................................................
[00:00.00]by RentAnAdviser.com
[00:00.00]
[00:34.60]I want to keep you, I no go let you go
[00:38.40]Nishafunga na zipu, Kwingine nishasema No
[00:43.10]Acha nikusiifu, Uzuri wa nyumba choo
[00:47.40]Na ulivyo nadhifu, Sipati vidonda vya koo
[00:52.40]If you leave me I go die, I go die ma bebe
[00:56.30]Na ukinipenda ntajidai, Ntajidai ma bebe
[01:00.70]
[01:03.30]Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
[01:08.80]
[01:12.30]Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
[01:17.00]Asa bebi nite.. Uniteke, uniteke
[01:21.00]Nicheke kama mtoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
[01:24.80]Bebi (Ahh) hapo ndo penyewe, Uniteke, Chii uniteke
[01:29.60]Ninenepe kama Mpoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
[01:36.40]
[01:43.00]Macho yake nungunungu, akinitazama
[01:47.30]Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
[01:51.60]Macho yake nungunungu, akinitazama
[01:56.00]Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
[02:00.70]
[02:02.20]Fanya wazi unachotaka, Zidisha kunipenda
[02:06.20]Kuna paparazi na basata, Tusichapane madenda
[02:11.20]
[02:13.30]Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
[02:19.80]
[02:21.80]Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
[02:26.90]Asa bebi nite.............