Singer: Diamond Platnumz
 | 
Song: Zuwena
Diamond Platnumz - Zuwena Subtitles (vtt) (04:01-241-0-sl) (PARTIAL PREVIEW)
 
......................................................................
........ USE THE BUTTONS BELOW TO GET FULL LYRICS & SUBTITLES ........
......................................................................
 
WEBVTT
00:00:00.000 --> 00:00:00.000
by RentAnAdviser.com
00:00:10.400 --> 00:00:14.200
Mhhh!! Habari gani kaka
naamini unanisikia
00:00:14.300 --> 00:00:19.400
Mimi mzima wa afya, mama
Mungu anasaidia
00:00:19.500 --> 00:00:23.800
Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
00:00:23.900 --> 00:00:28.700
Bibi presha presha nae akatangulia
00:00:28.800 --> 00:00:32.800
Bado twakuombea ulale salama pema
00:00:32.900 --> 00:00:35.200
Japo moyoni nina dukuduku
00:00:35.300 --> 00:00:40.700
Natamani kusema, nisemeee
00:00:41.300 --> 00:00:45.400
Zile mali husia ulizotuhusia
tuligawa salama
00:00:45.500 --> 00:00:49.800
Zuwena zote tukampatia
tusiwe ndugu lawama
00:00:49.900 --> 00:00:55.700
Ila Zuwena kaka amebadilika sana
00:00:55.800 --> 00:00:59.700
Yaani shem lake Bi Zuuh wa
leo sio yule wa jana
00:00:59.800 --> 00:01:01.900
Natamani ungemuona (Zuwena)
00:01:02.000 --> 00:01:04.100
Japo ungemuona (Zuwena)
00:01:04.200 --> 00:01:06.300
Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
00:01:06.400 --> 00:01:08.700
Ungemuona (Zuwena)
00:01:08.800 --> 00:01:11.000
Ooooh ungemuona (Zuwena)
00:01:11.100 --> 00:01:13.300
Aaaah Zuwena (Zuwena)
00:01:13.400 --> 00:01:15.700
Ooooh ungemuona Zuwena (Zuwena)
00:01:15.800 --> 00:01:18.800
Zuwena oooh (Zuwena)
00:01:28.400 --> 00:01:30.200
Mhhh! Zuwena sasa kawa chotara
00:01:30.300 --> 00:01:32.600
Sio tena cheusi mangala
00:01:32.700 --> 00:01:35.200
Ngozi kaichubua awe muzungu
00:01:35.300 --> 00:01:37.200
Anavuta na sigara
00:01:37.300 --> 00:01:39.500
Mara Boko, Mwananyamala
00:01:39.600 --> 00:01:41.900
Anachezesha tu miamala
00:01:42.000 --> 00:01:46.300
Kutwa anaisugua kipepе rungu
tena peku bila ndala
00:01:46.400 --> 00:01:51.000
Aaah Zuwena siku hizi anabandika
kopе (Zuwena)
00:01:51.100 --> 00:01:55.500
Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena)
00:01:55.600 --> 00:02:00.000
Ooh Zuwena lipa shika
tuondoke (Zuwena)
00:02:00.100 --> 00:02:05.000
Aah Zuwena wanamuita
cha wote, oh!, oh!
00:02:05.100 --> 00:02:09.200
Juzi kabebwa na majirani hata
hajitambui (Zuwena)
00:02:09.300 --> 00:02:14.000
Yaani kalewa tafarani kautwika
mbwi (Zuwena)
00:02:14.100 --> 00:02:16.700
Zuwena sio tena wa ibada na dini
00:02:16.800 --> 00:02:18.800
Sadaka chenji asaidie
00:02:18.900 --> 00:02:21.300
Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini
00:02:21.400 --> 00:02:23.500
Kutunza bendi wamsifie
00:02:23.600 --> 00:02:27.700
Na lile gari lako urithi wa
babu la kulishia ng'ombe
00:02:27.800 --> 00:02:32.600
Siku hizi kama kwato kwenye
vilabu linabebea pombe
00:02:32.700 --> 00...........
......................................................................
......................................................................
........ USE THE BUTTONS BELOW TO GET FULL LYRICS & SUBTITLES ........
......................................................................
......................................................................