Şarkıcı: Lava Lava
|
Parça: Teja
Lava Lava - Teja Lirik (LRC) (03:06-186-0-cs) (ÖN İZLEME)
......................................................................
....... FUL LİRİK & ALTYAZI İÇİN AŞAĞIDAKİ DÜĞMELERİ KULLANINI .......
......................................................................
[00:00.00]by RentAnAdviser.com
[00:15.40]Hhhmmm
[00:15.60]Nikutume wapi sasa njiwa
[00:18.40]Uende unitafutie kipenda roho
[00:23.00]Hhhmmm
[00:23.60]Yuuh wapi kama unanisikia
[00:26.10]Fanya unisaidie usichikoe ohhh
[00:30.70]Tumia wako ujasiri na machachali
[00:34.80]Chumvi sukari niwekeeeee
[00:38.40]Nenda na ufike mbali
[00:40.50]Ukipata hodari usisubiri nilete
[00:45.40]Ila sitaki kunguru mimi ehhh
[00:47.50]Akaiba ndani
[00:49.40]Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
[00:53.20]Asiyojua penzi nini (eeeh)
[00:55.30]Wala shukurani (eeeh)
[00:57.10]Chochote anakula hata kile kinachonuka
[01:00.60]Akanifanya nikawaaaa
[01:02.20]Teja wa mapenzi
[01:04.60]Nikawa mimi
[01:06.10]Teja wa mapenzi
[01:08.20]Akili ikasinizia ehh
[01:09.80]Teja wa mapenzi
[01:12.40]Ohhh masikini
[01:13.80]Teja wa mapenzi
[01:16.00]Moyoni ntaumia ehhh
[01:25.10]Mama alisema penzi sherehe
[01:28.20]Si mabomu ya machozi kutwa kulizana
[01:32.50]Na ujana ukiendekeza starehe
[01:36.10]Yule mwenye jema penzi utamuona hana maana
[01:39.80]Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga
[01:43.50]Tuishi kama vitani kushikiana mapanga
[01:47.80]Mapenzi kamari uyapati kwa waganga
[01:51.30]Nishapiga sana tunguri nikaishia kutanga tanga
[01:54.50]Ndo maaana
[01:55.20]Sitaki kunguru mimi ehhh
[01:57.20]Akaiba ndani
[01:59.00]Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
[02:02.70]Asiyojua penzi nini (eeeh)
[02:04.90]Wala shukurani (eeeh)
[02:06.80]Chochote anakula hata kile kinachonuka
[02:10.30]Akanifanya nikawa
[02:12.00]Teja wa mapenzi
[02:14.60]Nikiwa mimi
[0...........