Şarkıcı: Diamond Platnumz
|
Parça: Zuwena
Diamond Platnumz - Zuwena Lirik (LRC) (04:01-241-0-sl) (ÖN İZLEME)
......................................................................
....... FUL LİRİK & ALTYAZI İÇİN AŞAĞIDAKİ DÜĞMELERİ KULLANINI .......
......................................................................
[00:00.00]by RentAnAdviser.com
[00:10.40]Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikia
[00:14.30]Mimi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia
[00:19.50]Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
[00:23.90]Bibi presha presha nae akatangulia
[00:28.80]Bado twakuombea ulale salama pema
[00:32.90]Japo moyoni nina dukuduku
[00:35.30]Natamani kusema, nisemeee
[00:41.30]Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa salama
[00:45.50]Zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama
[00:49.90]Ila Zuwena kaka amebadilika sana
[00:55.80]Yaani shem lake Bi Zuuh wa leo sio yule wa jana
[00:59.80]Natamani ungemuona (Zuwena)
[01:02.00]Japo ungemuona (Zuwena)
[01:04.20]Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
[01:06.40]Ungemuona (Zuwena)
[01:08.80]Ooooh ungemuona (Zuwena)
[01:11.10]Aaaah Zuwena (Zuwena)
[01:13.40]Ooooh ungemuona Zuwena (Zuwena)
[01:15.80]Zuwena oooh (Zuwena)
[01:28.40]Mhhh! Zuwena sasa kawa chotara
[01:30.30]Sio tena cheusi mangala
[01:32.70]Ngozi kaichubua awe muzungu
[01:35.30]Anavuta na sigara
[01:37.30]Mara Boko, Mwananyamala
[01:39.60]Anachezesha tu miamala
[01:42.00]Kutwa anaisugua kipepе rungu tena peku bila ndala
[01:46.40]Aaah Zuwena siku hizi anabandika kopе (Zuwena)
[01:51.10]Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena)
[01:55.60]Ooh Zuwena lipa shika tuondoke (Zuwena)
[02:00.10]Aah Zuwena wanamuita cha wote, oh!, oh!
[02:05.10]Juzi kabebwa na majirani hata hajitambui (Zuwena)
[02:09.30]Yaani kalewa tafarani kautwika mbwi (Zuwena)
[02:14.10]Zuwena sio tena wa ibada na dini
[02:16.80]Sadaka chenji asaidie
[02:18.90]Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini
[02:21.40]Kutunza bendi wamsifie
[02:23.60]Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ng'ombe
[02:27.80]Siku hizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe
[02...........