Diamond Platnumz - Inama (with Lyrics & Subtitles)
Search, synchronize, and download lyrics in LRC and SRT formats for YouTube music videos by videoID or Title.
You can preview or test subtitles before downloading them.
Note: Some words may be censored. This is for preview only.
You will receive the uncensored version when you download it.
(optional) Use the buttons below or the keyboard shortcuts "G" or "H" to adjust subtitle synchronization before downloading.
The available subtitles for the media will be listed below.
When available, click to load or test subtitles from the list below.
Note: Some words may be censored. This is for preview only.
You will receive the uncensored version when you download it.
Diamond Platnumz - Inama (fr) Lyrics
by RentAnAdviser.com
Ayolizer
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Asa inama
Ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
Oya inama (inama beiby)
Basi pinda mgongo (ngo
ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby)
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo
Toujours l'amour e'bandaka na
esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé
na nga aza présente
Soucis eleka wapi? chérie
na ngai azali ehhh
Tango nyonso e'belaka nga Je t'aime
Baloba basilika oh
Baloba basilika oh nga
n'ako lembe teh!
Chérie aza kitoko
Chérie aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais chérie
à moi est toujours romantique
Asa inama (Oh oh oh)
Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto)
Oya inama (bana inama) basi pinda
mgongo (bébé na ngai eh)
Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (silali)
Analishare lishare (oooh)
Please support me on PATREON Thank you!