Singer: Hamisa Mobetto
|
Song: Madam Hero (Official Music Video)
Hamisa Mobetto - Madam Hero (Official Music Video) Lyrics (.LRC)
[00:00.00]by RentAnAdviser.com
[00:20.50]Mobetoo
[00:26.00]Kila nikiamka ahsubuhi
[00:31.50]Napata majaribu mengi na maadui
[00:37.00]Na binadamu wakali kama chui
[00:42.50]Najiuliza niende wapi nikaombe chai
[00:46.10]Wanangu walee wapoze njaa (ahaaa)
[00:54.40]Nishachoshwa na nija za panyaa
[00:56.90]Ni tayari hata kuuza nyanyaa
[00:59.50]Wala sitojali huku kujulikann acha nipambanee
[01:04.80]Nishachoshwa na nija za panyaa
[01:08.10]Ni tayari hata kuuza nyanyaa
[01:10.70]Wala sitojali huku kujulikann acha nipambanee
[01:15.10]I wanna be African ****er one fighter
[01:20.70]I wanna be African ****er one fighter
[01:26.30]I wanna be madam hero
[01:29.80]Kama mama Samia
[01:32.90]Madam Hero
[01:35.40]Kama lupita nyongoo
[01:38.70]Madam hero
[01:40.80]Kama ivan chaka chaka
[01:44.10]Madam Hero
[01:46.10]Kama myriam makezaa
[02:00.90]Tuli dharaulika sana wanawakee
[02:04.40]Hatuwezi ******tee
[02:06.40]Dhamira hiyo nataka nifutee
[02:11.90]Ata nidharirike wengi wanicheke
[02:15.40]Hamisa sina lolote
[02:17.80]Mimi si waoo
[02:19.60]Acha nipambaneee
[02:23.00]Nishachoshwa na nija za panyaa
[02:26.10]Ni tayari hata kuuza nyanyaa
[02:28.70]Wala sitojali huku kujulikann acha nipambanee
[02:34.20]Nishachoshwa na nija za panyaa
[02:37.30]Ni tayari hata kuuza nyanyaa
[02:39.80]Wala sitojali huku kujulikann acha nipambanee
[02:44.30]I wanna be African ****er one fighter
[02:49.90]I wanna be African ****er one fighter
[02:55.60]I wanna be madam hero
[02:59.10]Kama mama Samia
[03:02.10]Madam Hero
[03:04.70]Kama lupita nyongoo
[03:07.80]Madam hero
[03:10.10]Kama ivan chaka chaka
[03:13.30]Madam Hero
[03:15.50]Kama myriam makezaa
[03:17.70]Nitapambana kwa ajili yanguu
[03:20.50]Nitapambana kwa ajili yakoo
[03:23.20]Nitapambana kwa ajili ya wote
[03:25.90]Africa
[03:28.90]Nitapambana kwa ajili yanguu
[03:31.50]Nitapambana kwa ajili yakoo
[03:34.30]Nitapambana kwa ajili ya wote Africa
[03:37.60]by RentAnAdviser.com
Note: Bad words replaced with ***** in above Lyrics or subtitles for preview only.
You can get the uncensored version of lyrics, subtitles below.
Watch on YouTube:
Hamisa Mobetto Madam Hero (Official Music Video) (sorted by view count)
Watch on YouTube:
Hamisa Mobetto Madam Hero (Official Music Video) (sorted by relevance)
Warning!
Subtitle may need a correction, you can send a correction to info [@] rentanadviser.com, or you can create your own subtitle
by using the Subtitle Maker for Music videos (free) application.